Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli kabs unaanzaje kuchukia na mtu wa mtandaoni
Nashangaaga sana wanaotukanana mitandaoni
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ stress mbaya mkuu, na hasa mtu anaposhindwa kuzi handle.. ila huyu mrembo Lizzy anafaa kuwa msaikolojia anaonekana mtulivu sana katika akili sio mkurupukaji, anasikiliza kabla hajasema, so hata ukiwa na jambo zito mcheki πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ anaweza kukusaidia kuli manage vizuri β˜•οΈ
 
Hapo kwenye bold umepiga ramli??😳😳😳
 
Ebhanaee leo sifa atazioga sifa yake nyingine hapa ni picha
anapiga realtime pics πŸ˜ƒ
 
Basi hii naitengenezea frame πŸ˜ƒ
Yeyote atakaekuwa na swali ntamuelekeza kwako πŸ€“πŸ€“
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ukitaka frame nitume nikuletee kabisa ambayo utakaa nayo miaka mia hadi wajukuu na vituu wataikuta
 
Ebhanaee leo sifa atazioga sifa yake nyingine hapa ni picha
anapiga realtime pics πŸ˜ƒ
Alafu ni mtaalamu kwenye maswala ya picture, picha zake unaweza ziuza kwenye site baadhi baadhi.. picha zake zina utulivu na anajua location ya picha ukiona lazima macho yakamatwe kama vile mtaalamu wa UI ( user interface ) vile πŸ˜€πŸ˜€
 
Ndo huyooohuuyoooπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€Έ
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Muandiko wako unasema , picha zako zinaongea ... hapa nilipo naisikia sauti ya unyenyekevu iliyobeba nguvu ya kugeuza moyo ikitoka kinywani mwako
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Eti sauti ya unyenyekevu 🀣🀣🀣 Wasikusikie washkaji zangu tu 😁
 
Mi napenda animation movies embu nitajie nzuri nzuri unazozijua nishushe
Mwenyewe sijaangalia animation sana siku za karibuni.

Kung Fu Panda Dragon Knight (series) & The Bad Guys (feat) umeona???View attachment 2323204
Mie huwa napenda za Kijasusi , hasa zinazi jumuisha sana matumizi ya ICT- Cyber War and Security na zina deal sana Technology .. na zile za kutumia akili nyingi hapo unitoi 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…