Yuko SouthHivi amepotelea wapi huyu dada jamani
Yuko SouthHivi amepotelea wapi huyu dada jamani
Salamu Kavukavu hivi Rumaiya kweliii????🙄🙄🙄Za asubuhi Jamani.
Haya nilikua napita kuwasalimu wapendwa wangu😘
Kabisaaa!! Long time kitambo jaliona lile sepu!!Na mimi nimemmiss
Atupe picha hapa ya lile shepu
Kumbe!Yuko South
Safiiiiii naona Taratibu utaanza kufuta some kauli zako mambo si habaaa🤣😂😂😂🤣😂!!Unataka aniue?
KabisaKabisaaa!! Long time kitambo jaliona lile sepu!!
Tulia mdogo wanguKumbe!
Ameenda pekeyake na hasemi..ameniacha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Safiiiiii naona Taratibu utaanza kufuta some kauli zako mambo si habaaa[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]!!
Baba mchungaji kolezea hapohapoo [emoji108][emoji108][emoji108][emoji3577][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weuweee!!Tulia mdogo wangu
Yuko na baba mchungaji
Wameenda kuchukua vifaa vya muziki kwa ajili ya kanisa na mapumziko kidogo[emoji2]
Mie pia bossi wangu kanikatazaaa 😉😉Kabisa
Inabidi wote wawili muweke..Tuone Yutong 2 zilizoongozana.
Hiiiiiii....😍Helloowww mamyyy!! ✋
Miss you sana dear!😘😘
Irudie ileile hio mpya ya kutafuta pozi utaweka badae pozi likipatikana!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti akolezeee
Tatizo lile pozi..hakiyanani mambo ni magumu.
Msalimie sana aliekuficha kipenzi sio kwa kupotea huko!😘😘Hiiiiiii....😍
Miss you more kipenzi changu ❤️
Poa Wige..,. Mwanza tuko salama kabisa mkuu..... Sijui ww hukoMambo vipi
Manzi ya Rock City
Nipo Mama anguMsalimie sana aliekuficha kipenzi sio kwa kupotea huko!😘😘
MweeMie pia bossi wangu kanikatazaaa [emoji6][emoji6]
Kwanza tuone maendeleo operesheni tokomeza kitambiIrudie ileile hio mpya ya kutafuta pozi utaweka badae pozi likipatikana!!
Mimi ndiye nimemficha mumuache ale maisha mrembo 😜Msalimie sana aliekuficha kipenzi sio kwa kupotea huko!😘😘
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣😉😂🤣😂 mmeanza kinifundisha kuringaaaa nafanyeje sasa🤔🤔🤔!!Mwee
Huu umbeya alionifundisha cocastic utasababisha nipigwe mwaka huu 🤣🤣🤣🤣Weuweee!!
Nitakuwa wa kwanza kuwapokea..
Hizo spika lazima niziimbie..sitakosa kanisani.