Ngoja nimpigie sasa hivi nimrecod. Nakutumia pm
Sasa watajuaje kama unayotumia ni real name yako??
Legendari wa MMU huyo.
Ndio ukome[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmhh hapa umenipiga changa la macho
[emoji57]
Ukikua utajua mdogo wangu.
Mbona mimi natumia real name hawaniverify?
Mbona mimi natumia real name hawaniverify?
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Kwani mnaongelea nini?
Ndio.[emoji23][emoji23]hutaki nisikilize??
Hahah una maswali wewe...
That one i dunno, sijawahi fuatilia...
Ndio ukome[emoji1787]
Kwani ukiwa kibabu ndio hauwezi kuwa mdogo wangu?Dooh!!! toka kibabu hadi kuwa mdogo ako [emoji3]
Hebu kakojoe ulale we mtoto.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Ndio.
Ushahidi gani? Cheti cha kuzaliwa?We ndio waomba na unatuma ushahidi wako kuwa wewe ndiwe...
Hata mie siijui.Sauti ya Atoto
Hebu kakojoe ulale we mtoto.
Safi sana.Nimekoma mimi
Napenda makande[emoji39]Chai na makande afu nikalale zangu.View attachment 1255942