Jamaniiiii tatizo sina tigoo.. ingekua voda au Airtel mie na HG wangu tungepita nayo fastaaa..ila kwa muda uloiweka itakua washapita nayo mapema kuna pipoz zipo kimya kimya humu mr Vocha
Nilisahau hata kuwajulia hali wapendwa Habari za asubuhi selfika ✋✋✋!
Wishing you a happy blessed and wonderful Tuesday guysss!!
Much love from Antonnia😍😍✌️✌️