Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 13,005
- 27,083
Usimchoshe dada angu..... Nishamtafutia mchumba mwingine hukuUmekaona katoto kazuri kweli vp nikuongezee awe anakusaidia majukumu kidogo [emoji8][emoji3590][emoji7][emoji177]
Usimchoshe dada angu..... Nishamtafutia mchumba mwingine hukuUmekaona katoto kazuri kweli vp nikuongezee awe anakusaidia majukumu kidogo [emoji8][emoji3590][emoji7][emoji177]
Uwiiiiiiiiii!!🙆🙆 Sis unanitafutia kimya kimya na hunambii jamani 🙄🙄🙄🙄🙄😉😉!!Usimchoshe dada angu..... Nishamtafutia mchumba mwingine huku
Lovieeeee warrraaaap 🙂😘
Duh mambo si mambo jamanii ntapata ugomjwa wa moyo kwa sababu ya mawazo!Uwiiiiiiiiii!!🙆🙆 Sis unanitafutia kimya kimya na hunambii jamani 🙄🙄🙄🙄🙄😉😉!!
Poker Apambane nahali yake tu!!
Ukufe kabisa mie Sitaki hekaheka zenuu! Bosi Wangu anitosha mie!!😉😉Duh mambo si mambo jamanii ntapata ugomjwa wa moyo kwa sababu ya mawazo!
Usinifanyie hivo najiamini nipo mwenyewe kabisa!Ukufe kabisa mie Sitaki hekaheka zenuu! Bosi Wangu anitosha mie!!😉😉
Si ulinambia nkutafutie mthungu au engenieer.... Nataka upande grade nmekutafutia anafanya Kazi Emirates..... Achana na huyu PokerUwiiiiiiiiii!![emoji134][emoji134] Sis unanitafutia kimya kimya na hunambii jamani [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji6][emoji6]!!
Poker Apambane nahali yake tu!!
All gud kaka... Karibu uselfikeLovieeeee warrraaaap [emoji846][emoji8]
Upo mwenyewe wapi???Usinifanyie hivo najiamini nipo mwenyewe kabisa!
Nmemuona shemeji[emoji4][emoji4][emoji4]
Kwa moyo wako fanya unionee huruma kidogo navoteswa na penzi lako!Upo mwenyewe wapi???
UmechelewaUzi wa selfie ila sioni selfie hata moja
Kweli aisee mpk sms zimefika 250kUmechelewa
Its all goood 😀😀😀All gud kaka... Karibu uselfike
Thubutuuuu!! Moyo wote kauteka bosi angu kubwaaaa!! The one and only him❤️❤️Kwa moyo wako fanya unionee huruma kidogo navoteswa na penzi lako!
Ni mthunguuuuuu[emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni mzungu au Eng??? [emoji6][emoji6][emoji8][emoji8][emoji8]