Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,881
Sanaaa 😁Jirani uko faster
Siku moja moja sio mbaya
Sanaaa 😁Jirani uko faster
Yanii mie khaa nimeishiwa pozi lote lakupita naked 🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️😴😴😴😴😴😴😴😴😴!!🤣🤣🤣Hii Dunia aliyeomba vocha kapitiwa kama kipanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Toka asubuh unaomba vocha mara PAAP kitu kizito kichwani hiko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanii mie khaa nimeishiwa pozi lote lakupita naked [emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani we acha tu...Maskini Antonnia kapigwa na kitu kizito [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tembea na mtoto wake tuDah yamenikuta nmehamia uswahilini faza hausi kila neno analisindikiza na KLMM
Sijapoa naenda kurara haiwezekaniii 😌😌😌!! Kukukumbusha kote umenipiga KO Jamanii!! Usiku mwema 😴😴😴😴😴😴😌😌😌Duh.. .Pole jirani.
Labda mkewe hana binti huyuTembea na mtoto wake tu
Jirani vumilia..zawadi iko pale paleSijapoa naenda kurara haiwezekaniii 😌😌😌!! Kukukumbusha kote umenipiga KO Jamanii!! Usiku mwema 😴😴😴😴😴😴😌😌😌
Kupiga kabobo tangu asubuhi halafu nitoke kapa 🙄🙄🙄🙄!!Jirani vumilia..zawadi iko pale pale
Mkewe tena [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Labda mkewe hana binti huyu
Mkiss Kwanza myoyambendi upate vochaKupiga kabobo tangu asubuhi halafu nitoke kapa [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]!!
Zawadi ni zawadi na vocha ni vicha tena niliomba specifically kwa uhitaji maalumu jamani 🙄😟😟😟😕😕Jirani vumilia..zawadi iko pale pale
Sina poziiiii!! 😌😌😌😌😌Mkiss Kwanza myoyambendi upate vocha
Ww mkiss KwanzaSina poziiiii!! [emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]
Upambe tu unauweza mamdo hahaa!! Utu uzima dawa ngoja nikomae kubishi hivohivo ilaaa nyie👈👈👈👈😟😟😟!!Ww mkiss Kwanza
Pumzika kidogo jirani, ngoja nikadai hela za mihogo, ntakuwekea baadae.Sina poziiiii!! 😌😌😌😌😌
Pole x wangu nenda kwa mumeo Poker akutumie vocha ya 50k[emoji41]Upambe tu unauweza mamdo hahaa!! Utu uzima dawa ngoja nikomae kubishi hivohivo ilaaa nyie[emoji118][emoji118][emoji118][emoji118][emoji45][emoji45][emoji45]!!
Jamaniiiii Zangu hapa sipawezii halafu Nikisema unialart means uniulize kwanza kama nipo jirani!! Ukaenda kumwita jirani yako huyo wakishua mie napiga story huku hata hujanijulisha😟😟😟😟 Aiseeehhh!!Pumzika kidogo jirani, ngoja nikadai hela za mihogo, ntakuwekea baadae.