Selfika na JF: Snap it. Show it

Kunae mmoja hujamtaja, huyu alikua anashinda online muda wootee, yani kila nikichungulia namkuta, i mean kila nikichungulia.
Itakuwa nimemsahau
Ni Tinsley au cocastic haka uwa kanapotea..


Haha eti anashinda online muda wote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wengine ni ma PS/ ACC muda wa kazi ako na desktop anafanya kazi huku yuko jf
 
Itakuwa nimemsahau
Ni Tinsley au cocastic haka uwa kanapotea..


Haha eti anashinda online muda wote [emoji23][emoji23][emoji23] wengine ni ma PS/ ACC muda wa kazi ako na desktop anafanya kazi huku yuko jf
Alimaanisha ni mie hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimesoma comment yake huku nacheka mnooo. Muambie hatuna vocha na maisha yametuchapa.

Afanye fanye namna turejeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…