Bro mandi habariiiiiiiiiiiii!!!!Good morning selfika. Hiki kijiwe...
Nitashukuru kaka.. 😂, nataka nimpe kazi mandonga mtu kazi 😂Hahahaha.. Nitakuwa mdhamini wako
Hello mshana!! Kiongozi mwenye kilinge chake!!Hello Surbi
Mie Sijambo sana hofu kwako mchuxx!!Salama mchuchu
Umeamkaje![]()
Safii jirani...Kumekuchaaa na makucha yake!!
Nawewe umekua kimya kimya humu kulikoni??? Sio poa kabisa!!Safii jirani...
Atakua bize na shughuli za asubuhi atatinga humu badae!!
Nipo jirani...Nawewe umekua kimya kimya humu kulikoni??? Sio poa kabisa!!
Sawa mkuu!Nipo jirani...
Wapi huko jirani na nie nije...Nikatafute hela ya mboga sasa!! !!See you Next time!!