Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Nakuja best😍💃🏼Mie siutaki tena huu mwili njoo tubadilishane
Nakuja best😍💃🏼Mie siutaki tena huu mwili njoo tubadilishane
Nakusubili dearNakuja best[emoji7][emoji1380]
[emoji9][emoji9][emoji9]Ndyoo babeeeh [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hi cocaMrembooooh, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ukimaliza kujifunza utanufundisha na mimi.Hujui kama nasoma
English course
Ndio nafanya practice
Kama huutakiMie siutaki tena huu mwili njoo tubadilishane
Unachekesha
Itakua alikesha usiku, alfajiri ndio analalaAnachelewa sana kuamka
Sijui ndio ulipaji ada 2025[emoji848]
Hahaa!!