Na wewe umeanza maneno ya KIPASHIKUNA umeanza kuwa kama wale wengine!!WHAT IS KIMBONDE?sijakuelewa hapo kabsa CAUSE meme sijakulia USWAHILINI naomba kueleweshwa TAFADHALI.
Huku akina Junia hawafungi ati..
Sijui ndio wakina John Kisomo au walimu wanafanya tu namna wapate ada ya mwezi huu🤔
Watoto wa chekechea eti hawafungi!