Selfika na JF: Snap it. Show it

utampa taarifa. Halafuu uwaambie kbs nimepita uchi
Hahahhahahahha...
watakuta manyoya naona wapo bize na weekend!!!
Walai jumamosi yangu imekua njema sasa ngoja niamke kwanza!!
Santo sana mamy
 
Nipo shoss angu sensa wanenila kiboga asubuhi kweupeeee!!!
!!
Haya nilikua nimepoa kweri kweri naomba nichangamshe na selfii moja mattatta kama kawaida yako shoss akeee
!!
usinambie kwenye sensa umetupwa nje????
Acha uongo shougaaa angu lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…