Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakupigia kuraaa, kampeni soon.
 
Aunt Sikuona hii 😂😂😂😀
Umekuwa kakaake mboso sikuhiz😂
 
🥰Mama junia
 
Mwanamke mmoja Nairobi ameamriwa na Mahakama ya Madai Ndogo ya Milimani kumlipa mpenzi wake Kshs 23,750 baada ya kumtumia Kshs 3,000 kulipia teksi kuhudhuria sherehe ya kuzaliwa kwa mwanamume huyo lakini bibi huyo hakutokea na badala yake akazima simu yake. Mwanamume huyo alienda kwa mahakama ndogo ya madai na kufungua kesi hiyo pamoja na ushahidi ambao ni pamoja na taarifa yake ya M-pesa na gumzo la WhatsApp kati yake na bibi huyo kabla na baada ya kutuma pesa hizo baada ya bibi huyo kupuuza jumbe zake na kisha kuzima simu yake. Mwanamke huyo aliamriwa amrudishe mwanamume huyo Kshs 3,000 pamoja na riba ya Kshs 750 na fidia ya Kshs 20,000 zaidi kutokana na uchungu wa kihisia aliopitia. Mwanamke huyo alizuiliwa akisubiri malipo ya uharibifu na familia yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…