Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tbt ehh
%2B255%20789%20569%20268%2020220726_115913.jpg


Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 

Nimfiche wapi Binti yangu

Naombeni Kura zenu wadau wote wa huu uzi na wote mnaochungulia hapa Mshana Jr Antonnia Nuzulati Depal cocastic Heaven Sent Saint Anne Mjep Lovelovie Carrasco putin myoyambendi Lenie Lizzy sophy27 PAUL Bae
Nakupigia kuraaa, kampeni soon.
 
Dereva wa moyo wangu
Usinipeleke puta puta (Puta)
Taratibu mwenzangu
Penzi njia yenye matuta (Tuta)

Amepinga nimepinga
Penzi hamwezi futa (Futa)
Nakula kwa raha zangu
Nyama mpaka mfupa (Fupa)

Kisura cha upole
Kama mama yangu (Talalala)
Unifunde kwa mkole
Uwe somo yangu (Talalala)

Huba tulisosomole
Chuzi kwa matandu (Talalala)
Nile bungo kwa kidole
Mambo chambu chambu

🎼🎼🎸🎶🎶🎺🎵🎵
Aunt Sikuona hii 😂😂😂😀
Umekuwa kakaake mboso sikuhiz😂
 
Moyo wangu tembea na yule
Na yuleee
Ndio nampendaga

Macho yangu mtazame yulee
Mtazame yulee
Namwamini sana.


Ah ah ahhhh
Kuna muda
Namuomba Mola angekuleta mapema
Ila bado siyo mbaya
Wewe ndiye unayejua maumivu yanguu

Siko radhi unitoke machonii
Nitakuweka moyoniiiii..
........

Haya shusha verse nikulipe

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
🥰Mama junia
 
Mwanamke mmoja Nairobi ameamriwa na Mahakama ya Madai Ndogo ya Milimani kumlipa mpenzi wake Kshs 23,750 baada ya kumtumia Kshs 3,000 kulipia teksi kuhudhuria sherehe ya kuzaliwa kwa mwanamume huyo lakini bibi huyo hakutokea na badala yake akazima simu yake. Mwanamume huyo alienda kwa mahakama ndogo ya madai na kufungua kesi hiyo pamoja na ushahidi ambao ni pamoja na taarifa yake ya M-pesa na gumzo la WhatsApp kati yake na bibi huyo kabla na baada ya kutuma pesa hizo baada ya bibi huyo kupuuza jumbe zake na kisha kuzima simu yake. Mwanamke huyo aliamriwa amrudishe mwanamume huyo Kshs 3,000 pamoja na riba ya Kshs 750 na fidia ya Kshs 20,000 zaidi kutokana na uchungu wa kihisia aliopitia. Mwanamke huyo alizuiliwa akisubiri malipo ya uharibifu na familia yake.
Screenshot_20220728-141327.jpg
 
Back
Top Bottom