🤣🤣🤣🤣Jaman pisi za dar zinakula hivi hubakishi hata punje umekua kama mpare [emoji119][emoji119][emoji119] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenishinda tabia [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kutupa chakula dhambi ujue
AsantenKaribu sana Selfika Wise girl!! mpya kweri kweri ama kivingine mamaa???
Sitaki kwenda motoni mie😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenishinda tabia [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ndio me mzima sijui wwUchawi huu jaman
Haya poa mrembo mzima wewe?
Mshana huko utapaweza ndugu?
Hyo Kaka unataka uninyime nn[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]ww mkaka mambo
Tena wewe ndo taipu zangu kabisaaaSalamu tu hyo haina madhara
Napokea wageni wa Kike tuCarrasco putin Tunakupa kitengo cha kupokea na kukaribisha wageni!!
Tunakutakia utekelezaji mwema!
Njoo pm unisalimie vizurCarrasco putin mambooooooooh
[emoji849][emoji849][emoji849]au basi
Aaah kumbe unapenda watu waso na nyamaTena wewe ndo taipu zangu kabisaaa
Yeye mwenyewe kapata bwana kwa kuwafuata watu huko kusikojulikanaCcy Antonnia ashanikataza nisiwafuate watu huko kusiko julikana[emoji17][emoji17]
Me sitak bwana nataka kakaYeye mwenyewe kapata bwana kwa kuwafuata watu huko kusikojulikana
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Sipendi watu tu napenda ulivo weweAaah kumbe unapenda watu waso na nyama