Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Jana nipo na dogo misele, nashangaa nimerekodiwa na hiyo filter naonekana kama kasuku; kimdomo, kope kule na uso mwekunduuuu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siipendi ilee ya Doll.
π€£π€£π€£ππJana nipo na dogo misele, nashangaa nimerekodiwa na hiyo filter naonekana kama kasuku; kimdomo, kope kule na uso mwekunduuuu[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitiiiiiiiiπππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mie siipendi ya doll khaaah.Jana nipo na dogo misele, nashangaa nimerekodiwa na hiyo filter naonekana kama kasuku; kimdomo, kope kule na uso mwekunduuuu[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushindwee wee tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee coca em rudia hizo picha. Nipo busy kujibu comments, wewe unatupia na kufuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mie siipendi ya doll khaaah.
Ahaaa hapo nimeelewa!! Sema chakula cha vile wanapenda hawa wa intiria huku!!Yule wakishua, samaki wa kukaanga Sana.
Hapana, ila ni ukanda wa Home.Ndio home huko?
Mi mwenyewe nisingeshtuliwa ningekuta manyoyaWee coca em rudia hizo picha. Nipo busy kujibu comments, wewe unatupia na kufuta
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekomaa ku-type, nikirudi nyoyaaaaMi mwenyewe nisingeshtuliwa ningekuta manyoya
Mr vochaaaa, hebu selfikaaa.Kitiiiiiiii[emoji7][emoji7][emoji7]
Umechachuka vibaya mr Vocha π€£π€£Kitiiiiiiiiπππ
πππππUmechachuka vibaya mr Vocha π€£π€£
Aisee nimesubiri sanaKwa kweli Mungu ambariki mgunduzi wa filters. Sasa hivi harara na chunusi kwishney: tuonane kwenye real life[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ipi hiyoooo??? Mama malezi,Wee coca em rudia hizo picha. Nipo busy kujibu comments, wewe unatupia na kufuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo busy na maombi ya kukufungua nkamu. Siku hizi umenoga hadi umechachuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]