Eehhh mama pastaa jana madogo wamekuja kukusalimia wananiuliza mamdo simu yako ina snap??? mie natoa macho tu snap ndio kidudu ganii hahaha wakaniambia weeee mamdo ushazeeka tunabadilishana simu uchukue hiki ki tekco batan utupe hiooo ...yani hujui hata snap huna snap uwiiiiii mamdo ushakua wa kijijiniiii!!!Nimecheka. Kuna snap unatoka kama mdoli sijui
Kaa hapahapaHS tupia mommy,
nishaweka hapo ya ki mdoli π€£π€£π€£π€π€ππππMe nipo tu mkuu, sema ubusy sana.
Tupia selfie basi.
π€£π€£π€£π€£Ila mkuu we ni mzungu aisee
Yani unakula vitunguu unalala?
Nimecheka kama mazuri; wacha madogo wakuchangamshe. Kuna filters kwa kweli hapana; unatoka ka-toy, mara uso mwekunduu, eyelashes kama brushEehhh mama pastaa jana madogo wamekuja kukusalimia wananiuliza mamdo simu yako ina snap??? mie natoa macho tu snap ndio kidudu ganii hahaha wakaniambia weeee mamdo ushazeeka tunabadilishana simu uchukue hiki ki tekco batan utupe hiooo ...yani hujui hata snap huna snap uwiiiiii mamdo ushakua wa kijijiniiii!!!
Wakadownload snap basi Simu naletewa ikiita tu nyieeeeππππππ!!
Mtoto mzuri kabisa mbichiii, kigoriVijana snap zenu zimenishindaaaπππ!!
sura kibibi unakua kama mdoliiii khaaa snap siwaweziiiiiii!!!
Hayaaaa wale wa Naakkkkeeeeeeeeddd mnyegere mnyegereeeeee in nshomiles voice π€π€π€π€!!
Mac Alpho T 1990 ELY
Kidot wapi best mambo ya snap hayooo!!Madam mwenyewe, kumbe pacha wa kidoti/jokate
SitokiiKaa hapahapa
jamaniiiii jamani!! Ngoja nikuoneshe nyingine walinisnap ikanivalisha miwani π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππ!!Nimecheka kama mazuri; wacha madogo wakuchangamshe. Kuna filters kwa kweli hapana; unatoka ka-toy, mara uso mwekunduu, eyelashes kama brush
Basi nilipitwaπnishaweka hapo ya ki mdoli π€£π€£π€£π€π€ππππ
Naomba hayo mawani boss ladyππHeaven Sent π€£π€£π€£π€£ππ!! Mac Alpho
Endelea kuitumia, kuna filters nzuri tu, utazifurahia na itakunogeajamaniiiii jamani!! Ngoja nikuoneshe nyingine walinisnap ikanivalisha miwani π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππ!!
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ πππNaomba hayo mawani boss ladyππ
Siku hizi sio ladies and gentlemen; ni "filters and gentlemen"Kidot wapi best mambo ya snap hayooo!!
Hakiii snap imenishinda tabiaaa!! Ukitaka Hadi miwani inakuvalisha nyieeeeπππ!!
Ukitaka na shedi inakupakaaaπ€£π€£π€£π€£
Na hela ma dolari inakuwekea
Hata uwe na mapele ajeee inakumake up unakua softiiiiii nyieeeππππ!!ππ€£π€£π€£
Na kope inakubaandika Jamani jamani π€£π€£π€£πππ!!
HatariHeaven Sent π€£π€£π€£π€£ππ!! Mac Alpho
Lips hizo mtoto wa kikeπHeaven Sent π€£π€£π€£π€£ππ!! Mac Alpho
Kaisikiiiii!! ππππ€£ Hahahaaa.. kila Siku nahombana na Mkuu kuandaa lesson plan kama ulijuaaaaa!! Aisee njoo tu uniandalie best!!Kaisiki umale shule nikutwala sijui nimepatia aliimba saida. uko vizuri Madam ningekuwa staff kwenu lesson plan yako ningeandaa Mimi daily sio kwa mapicha hayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wahuni waje tena wanipige mtungoooo.Watakupasua wewe[emoji23][emoji23],,, unajua nn kuhusu wahuni wakat unapenda majentomani