Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Sikuhizi nina mambo mengi jirani acha tu!Jirani unantia nguvu.. ila bila wewe uzi haupendezi.
Asante kwa Kuapreciate jirani!!
nasubiria zawadi yangu jirani!🤸🤸💃😘😘😘
Sikuhizi nina mambo mengi jirani acha tu!Jirani unantia nguvu.. ila bila wewe uzi haupendezi.
Sawasawa jirani..inaandiwa..Sikuhizi nina mambo mengi jirani acha tu!
Asante kwa Kuapreciate jirani!!
nasubiria zawadi yangu saa!😘😘😘
Nilipe deni langu.
MchaneeeUsku mwema nawapenda nyote ila kuna mmoja nampenda zaidi anajijua na anaringa kisa lizuri 😇
Kama unamjuaa mtajeeer avimbe kichwaa ajisifieeeeee!!Usku mwema nawapenda nyote ila kuna mmoja nampenda zaidi anajijua na anaringa kisa lizuri 😇






hatareeeeh, woiiiiiiih


Cocaaaa nakusubiria kuleee Naomba nambaaa ya tsup nikapasuke Mbavu mieeehatareeeeh, woiiiiiiih
Acha dhambi wewe
Hapa ndio penyewe
Uraiani ni kumalizia
Ukoje lakini![]()




sitakiii wa humuuuu. Babeeeehmaaama weeeh
Chizi wee, ulifanya kusudi kabisaa.Lilivimba Sana nikaona nilifanyie operation kidogo. Kukata kidogo Tu mpasuko ukawa mkubwa Sana![]()







Wee kama Mie tyu shoss akee... Humu nawaogopa balaaa!! Nimewanyooshea mikono! Kitamboooo🙌🙌🙌🙌🙌 Nimesurrender!!🙌🙌🙌🏃🏽♀️sitakiii wa humuuuu.
Akuuuuuh.
Piga video call kuleNiamke nivae nguo… nahisi baridi inapenya kwa blanket na inanifikia![]()
Usijareeeeee shougaaaaah akee.Nipo hapa shoganguuuuu!!!
Halafu mbona sikuhizi tsup sikupati kwaile namba hebu nipe unayotumia saivi banaa nataka kupasuka mbavu mie ntumie shoss namba ya tsup kuleee!!
Nipo hapa Sitoki shossss
Miss you hadi naumwaaaaa!!![]()





Kisa una dimples sawaaMchaneee
Anaringa yeye kwani ni 23%