Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
MremboHio shikamoo vipi boss vocha Unataka kuninyima nini!!!
Sijambo kabisa mkuu!! Namie naomba voda ya buku mbili nipate kifurushi cha wiki mkuu!
Naomba niwekee Kule kakamkubwa hapa nitakuja kukulilia tena kuwa Majambaka wameshaiwahi !!
Ipoje π€£π€£π€£I wish kungekua na option ya sticker huku jf.
Kuna sticker hyo ningereply nayo hapaππ
2k week unamaliza?? Mie nikiunga hakimalizi masaa 48 nikiwa home, ofisini hakimalizi masaa 12Hio shikamoo vipi boss vocha Unataka kuninyima nini!!!
Sijambo kabisa mkuu!! Namie naomba voda ya buku mbili nipate kifurushi cha wiki mkuu!
Naomba niwekee Kule kakamkubwa hapa nitakuja kukulilia tena kuwa Majambaka wameshaiwahi !!
Mtandao wa vijijini hukomtandao wa kiwaki sana huo [emoji1787]
Safi sana jiraniHappy Sunday everyoneView attachment 2301916View attachment 2301917
[emoji4] Sawa jiraniSafi sana jirani
Sijambo jirani...uwe na baraka tele..Me niko poa jirani
Uhali gani
Pendeza bibie
Wewe una shazman telegram2k week unamaliza?? Mie nikiunga hakimalizi masaa 48 nikiwa home, ofisini hakimalizi masaa 12
Hiyo lips
Stunning na kakitambi kwa mbali π
πππ Mbona soccerbetWewe una shazman telegram
JF IG na Soccerbet mambo kama hayo
Mwenzio JF na Whatsup tu
π π π π kushibq dadaStunning na kakitambi kwa mbali π
Habari zangu nzuri ustaadhat. Vipi weekend?Bro habari za kwako!!
ππHiyo lips
Mimi hoi