Mbona mmeanza kulalamika kuwa kwenye kikao cha maamuzi ya kuipitisha "50/50" mliitikia "ndiooo.... Ariririiiii" ila hamkuelewa mleta mada alimaanisha?!
Tenda miujiza Anko, nina haja nayo sasa... Nasikia ya jana ilikuwa nzuri "kweri kweriii..."

Hio shikamoo vipi boss vocha Unataka kuninyima nini!!!
Sijambo kabisa mkuu!! Namie naomba voda ya buku mbili nipate kifurushi cha wiki mkuu!
Naomba niwekee Kule kakamkubwa hapa nitakuja kukulilia tena kuwa Majambaka wameshaiwahi !!