cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,175
Mdogo ake Mane katupia 2, afu makali balaaa.
Mkude, kagere, phiri, banda (wonder kid).





nguvu 1.Msimu uanze, tumwagilie moyooo.
Mdogo ake Mane katupia 2, afu makali balaaa.





nguvu 1.Unataka urudi utotoni uendelee kunyuti sio 😀😀😀Khaaah wee hapanaa
Unataka urudi utotoni uendelee kunyuti sio
Ila utoto raha sana kwa kweli yaani kula kulala tu ata primary sijui kama nilikua nasomaje![]()





hatareee sana.Mdogo ake Mane katupia 2, afu makali balaaa.
Mkude, kagere, phiri, banda (wonder kid).
nguvu 1.
Msimu uanze, tumwagilie moyooo.
Mgonjwa kusema kweli ajapata nafuu yoyote.....Nipo sana humu
Mgonjwa anaendeleaje![]()
Poleni sanaMgonjwa kusema kweli ajapata nafuu yoyote.....
Mambo
HujamboMambo

Shikamoo Putin
Nipo poa vipi wewe ?Hujambo![]()
Nipp telegram natembea tembea huku na huko 😀😀😀
Unatafuta connectionNipp telegram natembea tembea huku na huko![]()




Marahaba ujambo tin binti anayelala kwenye bed ya 6 kwa 6 na mito 6 midoli 6Shikamoo Putin
Hahaha I receive IJNMarahaba ujambo tin binti anayelala kwenye bed ya 6 kwa 6 na mito 6 midoli 6
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nzuri tu vipi weweMarahaba ujambo tin binti anayelala kwenye bed ya 6 kwa 6 na mito 6 midoli 6
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Huwez lala kwenye double deka bossHahaha I receive IJN
Nipo kwa double deka hebu niache mie
Umejuaje mkuu..hongera sanaMarahaba ujambo tin binti anayelala kwenye bed ya 6 kwa 6 na mito 6 midoli 6
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app