Ntiluseswa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2021
- 673
- 2,292
Yani hapa nipo hoiii msukuma nimechoka mnoo!!! Ngoja niangalie angalie hapa kama ntapatamo!!Pole Bosi Ledi
Itakubidi ulale mapema...
Gauni la mtoko kesho labda
Maana yake ni kuweka picha full hadi sura yote!!Maana ya( NAKED)
π€£π€£Good for you
Njema sana mkuu!! Vipi wewe huko!!
Jirani πππ€£π€£
Jirani unajua mchezo wa gololi..hata mimi.Sielewagi hiyo michezo
Mie gololi tuuu πββοΈ
Twende tukachezeJirani unajua mchezo wa gololi..hata mimi.
Aisee....mpe salamNilikuwa naongea na mshua kwa simu ndogo huku naperuzi hii page,, nimekutana na neno βdunguβ
Nikajikuta cheko limeniponyoka, mshua akauliza vipi π€£π€£π€£π€£π€£
Nakuja kesho...weekend na gololiTwende tukacheze
Sawa ππAisee....mpe salam
ππ nitakufunga balaaNakuja kesho...weekend na gololi
Inaonekana ulikuwa mkali sana wa kulengaTwende tukacheze