Selfika na JF: Snap it. Show it

Nagwendeleaga chiza bhageshi japo bado vidole havijakaa sawa navifanyia mazoezi

Eng'wasi bhageshi
Ng'wagΕ«kΕ« nkoyi....

Seba AlΔ«ho. ΕͺgΕ«pΔ«la chiza dΕ«hΕ«


Hako kakifaa hata mimi ninako na nilipewa na daktari. Pamoja na kazi zinginezo, kanasaidia pia kupunguza stress.

Dwikale na mhola nkoyi.

 
Nilikuwa nazipasua na dungu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pwaaa nilikuwa nachugua zile golori za chuma ambazo zinatumika kwenye treni
Kwenye mchezo wa gololi wenye dungu anakaaa pembeni πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰
Nilikuwa naongea na mshua kwa simu ndogo huku naperuzi hii page,, nimekutana na neno β€˜dungu’
Nikajikuta cheko limeniponyoka, mshua akauliza vipi 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…