Selfika na JF: Snap it. Show it

Duh nyie sie wa mchezo mchezo
Siwezi kuwepo huko ..nitasubiri picha tu mie

Watu wasikuchokoze kipindi hichi maana utawapa jicho kali zaidi la nandy .
Kila la kheri katiks Safari yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Nandy lile jicho ni noumaaah.
Afu voice notes yake imevuja akiwa anampanga Mwijaku amchafue Zuchu mitandaoni, afu atampa hela.

Sasa hela hajampa, kheeeeh mwijaku kaamua kulipua [emoji95][emoji95][emoji95]
Sema watu tyuuh hawajataka kuendekeza unaa, ingekua noumaaa.
 



Hapana chezea mimba aisee
Kisa alimkanyaga shela lake .. anavyolalamika sasa nilikanyagwa sana ndo maana ikabidi nimuangalie hivyo .

Yeah nimesikia kuhusu hiyo voice note aisee wasanii hawa balaa ..chuki kwenda mbele
Watu hawapendani
 
is...L

sema last name ndio zuri... nalipendaga tu
😁😁😁 Ukiniamini kwenye majina unakula hasara, ofisi mengine, kazini mengine, nyumbani mengine, ya simcard mengine 😁😁 wapenzi majina mengine hadi mengine wakiniita nashtuka
 
Wataniita Parod🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ umechachuka vibaya mr vochaa!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…