Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Thanks mr Vocha Miss you too!!✌️You are missed a lot
Thanks mr Vocha Miss you too!!✌️You are missed a lot
Amen!!Alfajir ingine..
Mungu atupe siku njema 🙏Amen!!
Salaaam jirani!! Kumekucha huko??Salam kwenu wote..
Kumekucha salama jirani..hujambo.Salaaam jirani!! Kumekucha huko??
Amenn Amen jirani!! God is good!Mungu atupe siku njema 🙏
Assnte jirani nafurahi kusikia hivo..Kumekucha salama jirani..hujambo.
Jirani leo weekend, umeamka mapema mno.Assnte jirani nafurahi kusikia hivo..
Mie Sijambo kabisa jirani
Jirani tupo pekeetu nibless fastaa basi jirani!!Kumekucha salama jirani..hujambo.
Acha tu jirani nimeamshwa na simu ya saa 11 alfajiri hii usingizi ukakata mazima jirani!!Jirani leo weekend, umeamka mapema mno.
🫣🫣Haaa haaa.Nimeanza kukupenda penda.
Jiraniiii...ntatupia tu jirani. Ngoja nikae sawa.Acha tu jirani nimeamshwa na simu ya saa 11 alfajiri hii usingizi ukakata mazima jirani!!
Tupia nianze siku Vizuri jirani yangu!
Jirani hujambo, weekend hiyooo...
Huu ndio muda mzuri jirani jamani!! Sasahivi watu sio wengiJiraniiii...ntatupia tu jirani. Ngoja nikae sawa.
Weekend ya kudaka vibus na kwenda kwa ma babes 🏄♂️🏄♂️Jirani hujambo, weekend hiyooo...
Safiii sana..Weekend ya kudaka vibus na kwenda kwa ma babes 🏄♂️🏄♂️
Jirani nikuombe wewe utupie..mimi nikianza natupia na zawadi..Huu ndio muda mzuri jirani jamani!! Sasahivi watu sio wengi
jamaniiiii,!! weehh Zawadi mbona naitaka mie uwiii Haya usitoke hapo!Jirani nikuombe wewe utupie..mimi nikianza natupia na zawadi..
Sawa jirani nasubiria..jamaniiiii,!! weehh Zawadi naitaka jirani Haya usitoke hapo!
Usipepese hata macho jiraniSawa jirani nasubiria..