Hapana. Nina kashida kengine tu...
Haka hapa chini...
Kwa heshima kabisa, unaweza kunifungulia PM japo kwa dakika moja hivi? Kuna kaishu fulani hivi ka kawaida pengine waweza nisaidia. Kama hutojali lakini Bosi Ledi
Nitakubless usiku ile mida yetu ile japo siku hizi unalala mapema sana