Hizi nizofumua Nimetoka ku crochet nataka isio kompliketed san ya kupumzisha kichwa kipumue kwanza!!Sijaielewa vizuri hiyo imekaa kama crotchet sijui wanaifanyaje wakisuka
Suka selfie ya gel kama hii au knotless ziwe kubwa View attachment 2299899
Suka twende kilioni
🤣🤣🤣😂😂😂 mamdo jamanii 🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣
Kama ww ulivyopendezwaMpango mzima
Ona alivypendeza
Ooh kweliHizi nizofumua Nimetoka ku crochet nataka isio kompliketed san ya kupumzisha kichwa kipumue kwanza!!
Mmh wapi
Asante dea kati ya mabutu au zile zapale juu kabisa uzoweka ila mie zigzag itakua kubwaOoh kweli
Suka mabutu yanaweza kukusaidia kiana
Huwa hayachoshi pia unajiachia nayo
View attachment 2299907
Mkwe Nimepiga lile lenyew kabisaSamahani mpwa nimechelewa kuitikia salamu yako. Nilipitiwa na usingizi....
Marahaba aisee.
Goti kama la Kisukuma unaliweza? Au huwa unazuga na vile vigoti vya kimchongo unabonyea tu kidogo hata chini hufiki?
Asante sana na Mungu Akubariki mpwa 🙏🏿
Ukiona utanitumia 50k ya kusuka ?
Bora mabutu hayo maana hayachoshiAsante dea kati ya mabutu au zile zapale juu kabisa uzoweka ila mie zigzag itakua kubwa
No juzi ilikua mock Form 4 tu!! Lab technician kuna vitu alichanganya kwenye kuandaa pretest hadi kutuita tukasaidiana ndio kukubali!!Titration au ipi?
Aliwahi kusumbuka mwalimu wa chemistry adv mpaka aliamua kututajia volume. Jamaa alivuja jasho akati nje kuna ukungu wa baridi.
50k khee usiku mwema [emoji2089][emoji2089][emoji2089]Ukiona utanitumia 50k ya kusuka ?
Aiseee mtoto mzur sana wwHahhaaha then ufanye muamala
Nione basi View attachment 2299956
Nipo kawaida mno
Lips nzuri shingo tamu ya kuweka love bites mpka nitetemeke miguu ya kichagaHahhaaha then ufanye muamala
Nione basi View attachment 2299956
Napenda wanawake wenye kipilipili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhaaha then ufanye muamala
Nione basi View attachment 2299956
Mweh mweh hapo mwisho sasa [emoji23][emoji23][emoji23]Lips nzuri shingo tamu ya kuweka love bites mpka nitetemeke miguu ya kichaga
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Mabinti wa mzumbe ndyo wanasukaga hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhaaha then ufanye muamala
Nione basi View attachment 2299956
Hatuna hela si nimekuonyesha jinsi nilivyoMabinti wa mzumbe ndyo wanasukaga hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app