Weka picha zako bana kubwa lao! Hatujakuona kitambo humu!
Right side plate π₯°π
ππππππ!
IPhone yako mpka nikiwa guest inajuaWasap image ya 12 may 22
ππππtulia dogo
Ww ndyo hujaniona Jana nimetuma picha zangu kama zoteWeka s
Weka picha zako bana kubwa lao! Hatujakuona kitambo humu!
Unakula chakula na wewe π³Right side plate π₯°π
Shushushu mkubwa ww TISS [emoji34][emoji34][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tulia dogo
Pole shangazi. Inabidi utafute chochote kitu uleππππππ!
Na nina ubao balaa hapa mjomba!
Ahh aiya ukimaliza hapo nenda kwenye kifua cha mtu sasa kutoka jioni
ππ ndio mambo zangu hizo
Nakula mbao, na ndio nimeziona paleUnakula chakula na wewe π³
Samahani mpwa nimechelewa kuitikia salamu yako. Nilipitiwa na usingizi....Mpwa shikamoo
Nimepiga na goti
π π
Boss utatekwa shauri yako [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji16][emoji16] ndio mambo zangu hizo
π³π³π³ haya njoo video call kwanza nione unavyokula hizo mbaoNakula mbao, na ndio nimeziona pale
Hawa mabinti matajir jau sana [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23]
πππππ nalala kifuani pake kupata moto kawaida kabisa kwa mtu na mke wakeAhh aiya ukimaliza hapo nenda kwenye kifua cha mtu sasa kutoka jioni
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hii hapaKwahyo umeila ice cream yangu[emoji24][emoji24]
Last born nateseka mm [emoji856][emoji856]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Na sahii tuma ya jana ni ya jana!Ww ndyo hujaniona Jana nimetuma picha zangu kama zote
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app