Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna Jamaa angu wauza popcorn walimgombania dirishani mpka akanunua na akala mchana kweupe kumbe akasahau alikuwa kwenye mfungo

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hahah wale jamaa noma
Wanakushawishi utanunua tu mwenyewe

Mimi huwa navionja sana hapo huku nikisubiri dala dala naonja hata kwa watatu baada ya hapo ndo nanunua
 
Karibu lunch kwetu aisee

Yani nimesikia shoga nimemuonea huruma ila anastahili hiyo adhabu .

Ana mdomo huyo mbaba labda atajifunza jambo baada ya hapo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…