PmWana familia msaada vocha jamanii napumulia mashine mwenzenu!!
Sukari ipi tena mkuu? πHawa the bus driver mwanamke una sukari sana wewe
Keshoktwa dyadyaa, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nipo dear,,,,ushafika??
Safiiii
Very very few!!Wapare wako sawa...watu hawawezi kuwa wabaya kabila zima..
Njoo tuvune,usijicheleweshe[emoji23]Keshoktwa dyadyaa, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sawa..Very very few!!
Voda mamaa!!π
Eeee customer service wameshakuzoeaUnajua mtu ambae hakopesheki.. ndio mimi sasa hapa nikiweka vocha narenew[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]!!
ππ mbona hata peke yangu fresh tu mkuuIla usiangalie peke yako...kama vipi njoo tupeane company.
Nahisi wachaggaPacha wao ni nani?
KaribuNaombaaa.
Tena ntavuna hadi baas. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo tuvune,usijicheleweshe[emoji23]
ππππππNahisi wachagga
COET imeanza lini kuwa na pisi?? [emoji23][emoji23][emoji23] Siku coet ikiwa na pisi basi hata wale wahaya wa law watakuwa pisi [emoji23]COET?? wee acha zako. Hebu usiwakosee adabu wahandisi mxiiieeew. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kabisa!!Eeee customer service wameshakuzoea
Mbona safii tuuSukari ipi tena mkuu? π
Tupe kabila jingine mamaππππππ
Pacha wao ???ππππ!!Tupe kabila jingine mama
Ila hao ni noma