Uwiiiii ningezimia nikufwe kabisa🤣🤣
Hata sitaki kuimagine alifeel vipi maskini, hizi mambo za kuchanganya mafile sio kabisa
Mwenyew niliwah post status picha ambayo nilitakiwa nimtumie mtu, sasa nashangaa mbona hajibu na alikua online mida hiyo, nikasema nicheki labda haijaenda hee nakuta chat haina picha wee nilishtukaa😂
Bahati nzuri haikua picha mbaya