AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,414
- 6,284
Hamja lala tuJamaniii Sophy!!!!
Uko wapi uko Wapi uko Wapi Uko wapi ππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππ€£ππ€£π€£π€ππ€£ππ€£!!Shida ni kwamba nikitoka hapa safari ni home, na tayari simu zoshaanza kumiminika hapaπ.
Tukilala Ndio atatupia???ππ€π€Hamja lala tu
Usitufanyie hivo mdogo wangu jamani!π€£π€£π€£
Nipo mwanza hotel hapa katikati ya mji kabisa , karibu π.Uko wapi uko Wapi uko Wapi Uko wapi ππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππ€£ππ€£π€£π€ππ€£ππ€£!!
EeeeTukilala Ndio atatupia???[emoji6][emoji848][emoji848]
Jaribu kulala alafu unashitukaTukilala Ndio atatupia???[emoji6][emoji848][emoji848]
Mkuu nilitegemea usiku nione kwato na sio kiatu[emoji28][emoji28]Site muda huuView attachment 2295756
Nimekumbuka kuna mtu aliweka nudes status π€£ haya haya mambo ya kuchanganya filesβ¦Si unapenda umbea ndio maana unachanganya madesaπ€£π€£
Wee emu weka pichaJaribu kulala alafu unashituka
Simu zinavomiminika hizo !πNipo mwanza hotel hapa katikati ya mji kabisa , karibu π.
Soon naingia kufanya kazi nyingine hapa!!Jaribu kulala alafu unashituka
AmewapatiaSimu zinavomiminika hizo ![emoji6]
Hawezi kuona we njoo bnπSimu zinavomiminika hizo !π
Wanaume waga atupigipigi mapichaWee emu weka picha
πWanaume waga atupigipigi mapicha