Ila wewe sikubishiagi maana watu wa mkoa fulani na nyie ni wabishi.Sema wewe ni mbishi sana, msimamo ni kitu kizuri.
Kwenye logic kuna principal ya ukianza na uongo ukamaliza na uongo, conclusion ni ukweli, i.e False then False = True.

Ukianza kwa uongo maliza kwa uongo. Tunaita msimamo




