Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapo saa nne na dakika arobaini
Nakuwa na mambo mengi ... Nashangaa shwah saa nne imefika .

Ila hapa shule yao sabato ndo naikimbia
Tupo wengi tunaofika mida hii
Mungu atusaidie
.

Juzi alikuja mgeni akawa anashanga amepewa kuhubiri saa sita na nusu . Akawa anashangaa kwa nn wanachelewa hivyo kuanza ibada kuu
Alisuggest ianze saa nne .

Ndo maaana watu wanasinzia kanisani mtu aanze kuhubiri saa sita atamaliza saa nane kasoro hapo .
 
Jaman jitahid uwahi mm kuwah Sabato nipo fasta sana Ila kusinzia lazima nisinzie sijui kwann nitakualika siku moja kanisani kwetu

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Jaman jitahid uwahi mm kuwah Sabato nipo fasta sana Ila kusinzia lazima nisinzie sijui kwann nitakualika siku moja kanisani kwetu

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ah pole aisee
Kuwahi nitajitahidi ila naona nimezoa kanisa hili na nimewekwa wakfu hapo hadi leo nasali hapo .

Nimeelewa wengine huwa wanahamisha ushirika kwenda kwingine .

Makambi mmefanya nyie ?
Nije Makambi labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…