Kweli eehh...yaani usemacho ni kweli
Maana km kuridhika ndo kunanenepesha baasi ndo hukuu
Niko busy Monday to Sunday!!!
Ila limwili daily from 64kg to 75 jus imagine
Kweli eehh...yaani usemacho ni kweli
Maana km kuridhika ndo kunanenepesha baasi ndo hukuu
Niko busy Monday to Sunday!!!
Ila limwili daily from 64kg to 75 jus imagine
Unaingia ndani unanunua mambo yako unayopenda unakuja unakaa hapo nje, Huku ukienjoy ka mziki kwa mbali, Sauti ya fountain , Na kuna sungura watakua wanazunguka zunguka miguuni hapo, Ukienda na watoto ndio safi kabisa.