myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Mh!...Nimezeeka aunt
Mh!...Nimezeeka aunt
Vipi jiraniMh!...
Nampigia chapNenda kwa Mom natty akupe
Aunt mbna sion vochaWanakuzeesha hao aunt yangu 😅
Sawa jirani, mm najua wewe mbichi kabisaVipi jirani
Lkn aunt me kizazi Cha 2000 ni Sawa tu kukusalimia[emoji16][emoji16][emoji16]Hali ya hewa naona au sijui ndo nimemiss Anko wenu sielew[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nirushie mimi nitamtunzia kwa uaminifu mkubwa😜Nakununulia kwa njia ipi mkuu?
Nipe maelekezo mgonjwa
Nimependa aunt Yan wew sawa na mdogowangu wa mwisho mm nishakula chumvi kidogoLkn aunt me kizazi Cha 2000 ni Sawa tu kukusalimia[emoji16][emoji16][emoji16]
Aunt huyu ye mwenyewe alisema nimuite mama alinambia hivi huko JF kuna watu wangu warembo nawafukuzia usiniharibie sifa nkasema sawaNilijua utani
Asante kakaake love[emoji1] ubarikiwe
Next time nashukuru sana Kwa kujali
Lovelovie hebu acha kumuita kaka huyu kijana auntyako ninatak kushona sare
Hapo umenena 😂au basNirushie mimi nitamtunzia kwa uaminifu mkubwa😜
🤣🤣🤣🤣DahAunt huyu ye mwenyewe alisema nimuite mama alinambia hivi huko JF kuna watu wangu warembo nawafukuzia usiniharibie sifa nkasema sawa
Au basi😁😁Hapo umenena 😂au bas
😂Au basi😁😁
Assalam Aleykum 😘
Aunt yangu mwenyewe mzuri mzurii😍😍
Waleykum salaam 😘Assalam Aleykum 😘
Waleykum salaam 😘
Idd lazima nikualike😂
TumepigwaaaaaaaaaHivi sasa ni juma3 kasoro 😩
View attachment 2294399