Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20220717_104021.jpg
 
Ukileta mrejesho uwe makini na kina Mjep wasije kukutolea macho...... Rangi yako ya ngozi ni nzuri sana kufanya nguo zinazong'ara kwa sabb rangi yako ya ngozi sio ya kucharuka.... Gauni ulovaa kanisani Leo kitambaa kizuri sana
Assssaaaaaaanteeeehhhh 💃👌😘

Mjep ashakua kakangu rasmi usiwaze hawezi kuntolea macho !
 
Ntatupia soon, 😎 Tena siku hizi nimepunguza KVant, Oh no, sijapunguza ila nimefanya mazoezi kifridge kimeisha mpaka najipenda mwenyewe😂😂😂😂😂
Thanks for the laugh! 🤣🤣🤣🤣🤣

Ila hard liquor si zinasaidia kupunguza vifridge?? Ndo maana hamnaga mnywa gongo mnene 😄😄

I'll be waiting for that kafridgeless 🤳🏽 🤗
 
Back
Top Bottom