kwetu shughuri kuu ni kilimo, sahivi hapa kule kwetu ndo wanavuna mpunga,
Ktk kilimo cha mpunga, sipendi kupandikiza na Kung'olea, hssa ukute dimba lina luhanu mbna utalia chozi,
Zinawasha hataree, afu sasa, liwe linawaka jua luhanu linaparaza na majimaji ya dimbani yakigusana kuchanganya na joto, sikiliza muwasho wake hapo, utatafutana.
Nshalima sanaaa.,