Hapana kwakweli, nilie pambana nae alishaolewa, Nina muheshimu sana Hadi Leo kwake Huwa sinyanyui kichwa huyo ndio dear ex wangu wa kufa na kuzikana.. ila tofauti na huyo hakuna moto wa mtu nitae muogopa kumfukuza akileta picha picha
maana natafuta mwenyewe taabu zote zangu jua langu matusi yangu