[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi mie utaniweza, kuna mtu aliwahi nambia, "wee siku ya kufa, malaika mtoa roho utampa heka heka hadi atachoka mwenyewe na kuamua kukuacha"Kwamba sisi tunaoandikia kulia kutufanyaje ukorofi[emoji17][emoji1]
πAtauliza ndo huyu niloambiwa au nimekosea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi mie utaniweza, kuna mtu aliwahi nambia, "wee siku ya kufa, malaika mtoa roho utampa heka heka hadi atachoka mwenyewe na kuamua kukuacha"
Watu wana dhambiii.
πππ Hii simu Leo itanigombanishaa.. sauti Yako na mbwehaa wapi na wapi.. sauti Yako kama ya malaika wa sifaYan mm ndio nina sauti ya mbweha au?
Nyie nimemiss kuogelea mto Ruvuma, na kuvua samaki.Nikaoge maji ya mto Ruvuma akili itulie[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ni vurugu tyuuh.[emoji23]Atauliza ndo huyu niloambiwa au nimekosea
Soma tsht utaelewa..Yan unaswali na simu pembeni? Inaruhusiwa??
Haya niko hapa nasubiria
Yaan kanipa wivu mnooo. Nandy nyie mbna anatukomeshaaa.Mamy anatumia mashoto[emoji3059]
Alafu nilishakutafutia chuo kabisa Marekani ujueTena ntakufurusha urudi kwenu huko kijijini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au siendi nawee Ulayaa, eeeh nshapata cha kukutesea, Ulayaa huendi na mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijaona jina vizuri, ila napenda [emoji631] au [emoji627]Alafu nilishakutafutia chuo kabisa Marekani ujue
Hiki kitakufaa sana
Bado nalia jamaniπ€£π€£π€£
Nimesikitika..Soma tsht utaelewa..
Sitaki mie,nusu nifie kwenye maji nilipoteza ramani,nienda kwenye kina kirefu. Nilikunywa vikombe vya kutosha,Nyie nimemiss kuogelea mto Ruvuma, na kuvua samaki.
Sijawahi kukua, nawakusanya watoto nazama nao mtoni tunavua samaki wee hadi chwaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mweeeehπππ Hii simu Leo itanigombanishaa.. sauti Yako na mbwehaa wapi na wapi.. sauti Yako kama ya malaika wa sifa
Kushoto na wivu unaingilianaje?Kuna mdada anaandikia kushoto, namuoneaga wivu, sometimes nampa Diary angu aandike, wivu ndyoooooh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimevuta picha saut yake uwiii akuombe radhi π€£π€£π€£Bado nalia jamani
Unakoleza moto ππππ€£π€£π€£
Usilie katotoBado nalia jamani
Akusamehe nawe pia. Ila usichukulie serious sana sijatuma kudhihakiAllah akusamehe kwakweli.
KwendraaaUsilie katoto