Ebu nipigie katoto kazuri, nisikie sauti ya mbwehaa ππππYan unaswali na simu pembeni? Inaruhusiwa??
Haya niko hapa nasubiria
Sasa je jazwa tumbo Kwanza ndyo ndoa inafata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Kwamba had tumbo lijae kwanza
.Dahhh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nandy anaandikia kushoto? Mbna amebarikiwa huyu dada, wooow.
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈIla Nengaa mzuri jamaniiiii, ana lips za kiume afu za kishababy.
Nandy anazifaidi kuzinyonya na kuzing'ataa.
Aiseeeumesoma hio kapsheni ya T-shirtπ π π π π π π π π π π π π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], watu wana hatareee.Saa Tisa hii huko msikitin anachota maji labda
Wivu tena[emoji28]Nandy anaandikia kushoto? Mbna amebarikiwa huyu dada, wooow.
Nimehisi wivu wallah. [emoji8][emoji8][emoji8]
am doing great sir π₯³π₯³Here I am......
Here I am......
How do you do!..........
Una tabia mbaya wee mtu hadi Co poaaa. Lol.[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Kuna mdada anaandikia kushoto, namuoneaga wivu, sometimes nampa Diary angu aandike, wivu ndyoooooh.Wivu tena[emoji28]
Lol.... mimi na tabia mbaya tena bestUna tabia mbaya wee mtu hadi Co poaaa. Lol.
Nikaoge maji ya mto Ruvuma akili itulie[emoji41]Mbavu cnaa mie. Uwiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba sisi tunaoandikia kulia kutufanyaje ukorofiππKuna mdada anaandikia kushoto, namuoneaga wivu, sometimes nampa Diary angu aandike, wivu ndyoooooh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mamy anatumia mashoto[emoji3059]
Tena ntakufurusha urudi kwenu huko kijijini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lol.... mimi na tabia mbaya tena best
Naomba unisamehe kwanza alafu uniambie nimekukwaza wapi mrembo mwenye kiuno chake mjini[emoji12]
Nikikuchukiza wewe nitaishije hapa mjini?
Yan mm ndio nina sauti ya mbweha au?Ebu nipigie katoto kazuri, nisikie sauti ya mbwehaa ππππ
π€£π€£π€£Yan mm ndio nina sauti ya mbweha au?
Mawifi wanaijua kazi yaoπππ
Mawifi sasa πππ