Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi naongelea wadada wa mashirika kama Emirates au Etihad huko,, huku bongo nako kuna ajira sasa?? Yaani air hostess bongo
Not real...

Kuna vigezo vigezo muhimu, kama urefu, wingspan, afya, uwezo wa lugha n.k...

Unene unapunguzwa kwa mazoezi kama kwingine upo vizuri...

Huo uzuri unasema sijaona, hivi ushawahi ona wadada wa KQ wewe? au vile vimama vya KLM?
 
Eti vile vimama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna vigezo gani boss?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…