Hivi jamani hospital za government vyumba vya private yani... Ukija na mgonjwa wako mgonjwa analala kitandani ww unaelala na mgonjwa unashinda umesimama unalala umesimama.... Ukiweza ndo utandike chini kabisa ulale.... Na hapo ndo private grade one sijui vyumba vingine ambazo vina watu wengi sijui inakuaje..... Lkn huu si ustarabu aiseh