Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Nipo bhana
Natoka kidogo na kurudi
Nipo bhana
Jamani sio wewe sorry nisamehe bure
Khaaaa niombe sorry kwa vochaJamani sio wewe sorry nisamehe bure
Hapo nimeweka maana mara nyingi sisi ke huwa tupo hivyo easily irritated
Nimefuta
Mr . charming wetu wa selfika
Tunakupenda na ucheshi wako



Twende tukazurureNipo bhana
Natoka kidogo na kurudi
Pokea msamha huu kwanza
Wapi huko
Wakishua utaniweza kweli mimi mshanta chalii ya bakta?Nishatoka road.. ona road ni kule juu
Na sirudi nyuma View attachment 2291690
Sawa best usijal bana tupo pamojaPokea msamha huu kwanza
Nakuwekea Pm
Bakta ndio wapi?Wakishua utaniweza kweli mimi mshanta chalii ya bakta?
Khaaaa naenda kula miguu ya kuku tegetaWapi huko
Cinema au restaurant
Njoo hapa Namanga
Kwa hiyo nikuwekee ?
Sawasawa..Me bado nazurula barabqrani View attachment 2291736
Boss nipo hapa princess wa chuga drive slowly yani ac naisikia mpka hukuUko wapi!? Naenda hivo road Carrasco putin View attachment 2291735
Ni taunika mamlide.Bakta ndio wapi?
Nadrive? Niko kuprint hapaBoss nipo hapa princess wa chuga drive slowly yani ac naisikia mpka huku
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app