myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Salama kabisa jirani. Kwema kwako?Nakusalimia jirani!ποΈ
Habari za asubuhi!!
π πVigoroliπ€£π€£π€£π€£
ππVile wanaita vikokoto?
Safii sana.Niliambiwa hyo sehem hua kuna kenge mkubwa sana..... Hiyo mida ndo nilikua nmeenda kumuona huyo kenge.
Kenge mwenyewe asionekane.... Ila mazingira yalikua mazuri sana mawe mawe, ngedere na wale wanaita pimbi wanasema hua wanaliwa, me sikujaribu kabisa kula
Alafu pia upande mwingine kuna makaburi ya watemi yalikua mawili makubwa sana wanasema ni ya muda mrefu sana View attachment 2291109
π π wakulima wangu nishawazoeaβ¦Hao wakulima lazima wakuletee jauπ
Hapo ni kuandaa kisingizio mapema.
Wee kuogelea na hao wadudu hee nitazimiaπ€£π€£ bora Magoroto
Amen Amen jirani!Salama kabisa jirani. Kwema kwako?
Mungu akushushie baraka tele...
[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3059]Safii sana.
Sasa unacheka nini jamani πππ
Na wewe unavikulaga jirani?Sasa unacheka nini jamani π
Ni nzuriLong weekend ile afu mimi niko kwa wakulima bado sijaelewa itakwendaje
Sema hiyo ya kuogelea na kobe niliiona [emoji1787] ni hatari
Vitenesi ni Maandazi tena wee jiraniπ³π³π³!!Vi maandazi vidogodogo...
EwaaNaandaa nondo aunt wew andaa notebook kabisa[emoji3059]
Vikokoto, vigololi, si tule tuandazi tudogo dogo afu tunakuwaga tugumuuNa wewe unavikulaga jirani?
khakhakhaaaa!! Enjoy to the fullest mr Vocha!! πMadam amenimwaga akanimiminaaaaaa
Hanashida acha mimi ni enjoy upendo hapa
Nimepitwa mimiiiπππππππThank you Nkamu gwangu[emoji3059]
Good morningView attachment 2291133
Morning ππGood morningView attachment 2291133
Ngoja wapige wimbo hapa nipasteMdogo wangu Saint Anne naomba uniandalie mashairi yenye afya mimi ni husbae leo
Khaaaa π€£Mdogo wangu Saint Anne naomba uniandalie mashairi yenye afya mimi ni husbae leo
Good morning mama JuniaGood morningView attachment 2291133