Long weekend ile afu mimi niko kwa wakulima bado sijaelewa itakwendajeKwakweli leo napitia kwa fundi juma anichongee😅
Kuna ile long weekend 8/8, itabidi tufanye jambo mojawapo hapo babygirl
He..!! Mkuu nikajua ni wewe uko pale.Chief wewe nisifie tu nitafurumushwa na matusi hapa🤣🤣🤣
Karibu husbae 🤣✋Ahsante kwa kunipenda
Sijui ntamueleza nini Aunt madameKuna watu watapata wivu hapa leo[emoji177][emoji177][emoji177]
Safiii....
Jiraniiii 🤣🤣🤣🤣He..!! Mkuu nikajua ni wewe uko pale.
Jirani karibu chai....na vitenesi.Jiraniiii 🤣🤣🤣🤣
Mdogo wangu Saint Anne naomba uniandalie mashairi yenye afya mimi ni husbae leoKaribu husbae 🤣✋
Madam amenimwaga akanimiminaaaaaaSijui ntamueleza nini Aunt madame
Kuna wenyewe hapo mkuuHe..!! Mkuu nikajua ni wewe uko pale.
Itabidi niwe makini jirani...Pisi za wenyewe...Kuna wenyewe hapo mkuu
Mimi mpambe tyuuuuu ina coca's voice
[emoji134][emoji134][emoji134]pole sana kumbe ndo hayo yalikusibuMadam amenimwaga akanimiminaaaaaa
Hanashida acha mimi ni enjoy upendo hapa
Geuka utamuona kenge nyuma yakoNiliambiwa hyo sehem hua kuna kenge mkubwa sana..... Hiyo mida ndo nilikua nmeenda kumuona huyo kenge.
Kenge mwenyewe asionekane.... Ila mazingira yalikua mazuri sana mawe mawe, ngedere na wale wanaita pimbi wanasema hua wanaliwa, me sikujaribu kabisa kula
Alafu pia upande mwingine kuna makaburi ya watemi yalikua mawili makubwa sana wanasema ni ya muda mrefu sana View attachment 2291109
Hao wakulima lazima wakuletee jau😃Long weekend ile afu mimi niko kwa wakulima bado sijaelewa itakwendaje
Sema hiyo ya kuogelea na kobe niliiona 🤣 ni hatari
Sawa sawa darling mim siogopi kabisa hao kenge[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
🤣🤣🤣 vitenesi ndio nini tenaJirani karibu chai....na vitenesi.
Vi maandazi vidogodogo...🤣🤣🤣 vitenesi ndio nini tena
Nakusalimia jirani!🖐️Safi sana. Hujambo jirani
Vile wanaita vikokoto?Vi maandazi vidogodogo...
Vigoroli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 vitenesi ndio nini tena