Sahivi kuna kijoto sijui kimetoka wapi,, ngoja kukucheniwepo wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi mkali [emoji1787]Ahahah sidhani km ungefanya hivyo binti Abiuidi.unaonekana Una huruma sana
Watoto wanamideko sikuhizi acha tu!!Mimi nahisi ningekuwa nachapa hadi mikono iniume[emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mimi hadi nyumbani huwa siwezi kumfundisha mtoto[emoji23],,mkono mwepesi sana kurusha vibao.Watoto wanamideko sikuhizi acha tu!!
Subiri Junia aongezeke.Mavi yakeee!!! Muongo huyo Saint Anne
Hakuna cha junia wala nene!!
Njoo ule dinner π½ πUmemaliza au nikuje doea kiduchu
π€£π€£Kumbe anatuzuga tu..Mavi yakeee!!! Muongo huyo Saint Anne
Hakuna cha junia wala nene!!
Nashiba kabisa πSasa hapo utashiba mkuu au ndio diet?
Yanii dogo ashakua . saivi nikiona kachanga natamaniii ila nikiwaza hekaheka za mimba nyie!![emoji119][emoji119]
Jirani niambie, ana umri gani dogo..
Chai ya tangawizi + coffee βΊβΊMwenyeji hiyo kwa kikombe ni kahawa au chai??
Anazingua huyu!π€£π€£Kumbe anatuzuga tu..
π€£π€£Anazingua huyu!
Bado Nasubiria jirani!! Nisubiri mpaka lini lakini??π€£π€£
Nasubiria nivune mihogo jirani. Nikiweka natuma na zawadi.Bado Nasubiria jirani!! Nisubiri mpaka lini lakini??
πππYanii dogo ashakua . saivi nikiona kachanga natamaniii ila nikiwaza hekaheka za mimba nyie!![emoji119][emoji119]
Sasa ikujie vibaya uwiiiiii
Bado muda si mrefu jirani.Bado Nasubiria jirani!! Nisubiri mpaka lini lakini??
Umri kapuni ila ninaye hapaJirani niambie, ana umri gani dogo..
ππ€£π€£π€£!Nasubiria nivune mihogo jirani. Nikiweka natuma na zawadi.