Ndioo ndiiooooo!!!Ama kweli kizunguzungu kimenichanganya
Mpaka kimenipa wazimu
Shiishi kwanza kunywa sumu
Sababu ya huyu brotherman
Ufungue moyo
Naukabidhi kwako uwe wako
Wewe ndo nyota
Nuru yangu
Mwanga wangu
Utalosema nitasema "ndiyo"
Kama baya nitasima "siyo"
Mara chache mpenzi
Kukataa asemalo
Nifurahie baby
Kwa kila zuri utendalo
Ni wewe nilokuona mbele ya macho yangu
Niwewe
Uniliwaze
Nisiwaze
Umezaliwa wewe uwe wangu[emoji3590]View attachment 2290490
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Yaani[emoji23][emoji119]Watu wana vituko jaman[emoji28]
Bata batani
Ni msimu wa baridi hasa mitaa hiyo ya Ngorongoro, take care nkamu
Enjoy your stay in Arusha
Atiiii? Youβll sufferusiniambie!! uwii na nimebeba sweta moja tu for emergency
[emoji2162] View attachment 2290499
Simara ilo sweta ni zito lkn bado nafeel baridi inatekenya mifupaπββοΈ View attachment 2290499
Limekodolewa kodoooJicho dada[emoji7]
Atiiii? Youβll suffer
Unless uwe unashinda kwa blanket, morn to evening..
Limekodolewa kodooo
Facebook huwa naenda kutoa mawazo kuleHuko mjini Facebook [emoji23]
Yaani nilicheka[emoji1787]
Baba mtuishi yuko vizire π!
Yaani[emoji23]Facebook huwa naenda kutoa mawazo kule
Watu wanafurahisha mule .
Hivi kwanini sikumjua mapema kweli nimependaBaba mtuishi yuko vizire [emoji6]!
Heko kwake![emoji122]
Ulikuwepo asubuhi? Haka kajua ka mchongo kasikuzuzue πmimi mbn silisikii hilo baridi
Kupatwa kwa St Anne π€£π€£π€£π€π€π³ππHivi kwanini sikumjua mapema kweli nimependa
She's handsome,and gentleman come on[emoji91]
Kweli nimpenda[emoji23]
Remix yangu
Oxstar ft Alikiba[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2290509
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Naangalia nyimbo ITV hapa[emoji23]Kupatwa kwa St Anne [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji15][emoji23][emoji120]
Enjoy to the fullest kipenzi maisha ndio hayahaya [emoji126][emoji126][emoji1732][emoji8][emoji3531]!!
Mahaba niteketezee β₯οΈβ₯οΈβ₯οΈβ₯οΈπππ!!Naangalia nyimbo ITV hapa[emoji23]
Wanarusha nyimbo za enzi hizo nipo deep kwenye bongofleva
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app