Selfika na JF: Snap it. Show it

Hasa shule zenye wanafunzi wengi!!
Wanakula pesa mnooh, kuna bursar m1 wakati niko o level alinituma kitu ofsini kwake, afu kwa droo, wee kufungua hivi, nakuta nyeku nyeku zimejipangaaa za kushato, daaah bila upako nahisi shetie angenishawishi kuvuta kamojaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndoivoooo ...huwa wanazipanga tu kwenye madrooo yao!!!
 
Kama kazikusanya kwa hiyo siku waga kuna watu wa mahesabu wanakuja kuzipitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…