myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Safii jirani...
kumbe kuna vitu humu.. duh
Weeeh Usinambie!! kumbe!!!!???kumbe kuna vitu humu.. duh
Uzidi kubarikiwaga kila leo wee kaka!!Nipe muda nitafanya mambo mkuu
Kibongo bongo utaskia hawa kuna namna.
Asante kakangu!!Mrembo Surbi πππ
Ahsante kwa selfie nzuri dada yangu mrembo mrembo
Amina ππππUzidi kubarikiwaga kila leo wee kaka!!
Umetulia mtoto mzuriWeeeh Usinambie!! kumbe!!!!???
Mamaa mwenye Shepu yake Og mamaa asie na makuu Tonnia sijamuona Kitambo sana!! Aliemficha aturudishie mahoo wetu nyie viumbe!!
Asante kaka!Umetulia mtoto mzuri
ππ Unakuta unaanza mlia mahesabu mama mzazi ya ki masihara bila kutarajiaMamaa mwenye Shepu yake Og mamaa asie na makuu Tonnia sijamuona Kitambo sana!! Aliemficha aturudishie mahoo wetu nyie viumbe!!
Mie mwanamke mwenzie wee kaka hio kimasihara vepeee??!! π³π³ Ebu nitake radhi kwanza hata hivo kwa nilivomsoma dada hana shida kabisa yule ataemkula kimasihara atapata dhambi nyie!!ππ Unakuta unaanza mlia mahesabu mama mzazi ya ki masihara bila kutarajia
Hujanielewa.. nasema kwa ule mshape alafu awe mama alafu umlalie vile kidume ni majaribu hayoMie mwanamke mwenzie wee kaka hio kimasihara vepeee??!! π³π³ Ebu nitake radhi kwanza hata hivo kwa nilivomsoma dada hana shida kabisa yule ataemkula kimasihara atapata dhambi nyie!!