Selfika na JF: Snap it. Show it

Jf inasumbua nawadaiz application kaa[emoji57][emoji57][emoji57]
Ndugu yangu ulikuwa wapi sijui, nilipata mualiko sehemu nami nikaoga, nikatinga suti ya urithi, nikaomba nipigwe picha, nikuletee, nikaja nayo, sikukuona, nimeihifadhi kabatini.

😂 😂
 
RITA ya Popote pale hata huko kwenu sio hadi Dar!!
Wewe nenda Huko RITA watakuelekeza cha kufanya! Kama sio cha mtoto mdogo Sehemu kwingine sio lazima awe na kadi sijajua huko kwenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…